Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

MAMA MZAZI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA AKIWA SAFARINI KUELEKEA DAR KWENYE MSIBA WA MWANAE...!!!

 

Pichani ni Bi Flora Mtengoa, mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba ambaye ameondoka Bukoba san nane mchana kuelekea Dar es Salaam kwa ajili ya msiba wa mwanae
Mama yake ameongea na mwana libeneke Nicolaus Ngaiza na kuthibitisha kupokea taarifa za kifo cha mwanae na akasema kuwa jana alipigiwa simu na marehemu akimwambia kuwa " mama nimekutumia nauli uje Dar tuagane nataka kwenda Marekani."

Picha na habari kwa hisani ya kandayaziwaleo.blogspot
[ Read More ]

ANAEUJUA UNDANI WA KIFO CHA KANUMBA..

[ Read More ]

Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba

[ Read More ]

KANUMBA AMEACHA GUMZO KWA WAPENZI WA FILAMU TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.

 

 Ni alfajiri kabisa kama saa 12 hivi watu wengine wakiwa ndio wanaamka na wengine wakienda kulala na kupata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi chao kwenye tasnia ya filamu hapa bongo Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatcan. Chazo kinasema Kanumba alitoka kuoga na kumkuta Lulu ambaye inasemekana ni wapenzi akiongea na simu ndipo hapo ugomvi ulipoanzia mpaka kanumba kujikuta akidondokea kisogo na kutokwa na damu nyingi. Kwa sasa msanii wa kike Lulu anashikiliwa na police kwa maelezo zaidi

Watu wakiwa hawaamini kilichotokea 

 Hata mimi ilikuwa ngumu kuamini kwasababu nilikuwa nachat nae kwenye BBM hadi usiku na kumuuliza sikukuu hii bata tunalila wapi, halafu msg ya mwisho aliniambia kuwa anataka na mimi siku moja niingie kwenye filamu yake daaah.

Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu 

Rafiki mkubwa wa marehemu anaitwa Tito yeye ndio alikuwa na mwili wa marehemu hadi hosp ya Mwimbili  

Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV  

 Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini

H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehe Steven Kanumba 

Steve Nyerere akiwasili nyumbani kwa marehemu akiwa kwenye majonzi mengi 

Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingi 

[ Read More ]

PICHA ZA MSIBA NYUMBANI KWA KANUMBA

 

R.I.P KANUMBA....POLE FAMILIA, POLENI WATANZANIA,POLENI MASHABIKI WA KANUMBA DUNIA NZIMA
 imetokezea tu ile picha iliyoiweka kwenye DP ya BBM yake ndio iliyoko sitting kwake
 VITU VIMESHATOLEWA SITTING ROOM KUMAANISHA KWELI HATUNAE
 KUANGUKA KWA WASANII WENZIE NA KUZIMIA .....Jacquline Wolper huyo


                     KUONA PICHA ZAIDI DUMBUKIA HAPO CHINI




                                        ile kumi alfajiri tayari wasanii karibia wote walishafika



                             watu ni wengiii mnooooo
                             vyombo vya habari karibia kila kona
[ Read More ]

Picha za Mwili wa Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili.


 

IMG_20120407_073433
Maofisa wauguzi wakiuingiza mwili wa Marehemu Kanumba chumba cha Mauti katika hospitali ya Muhimbili.
IMG_20120407_073439
Ray Kigosi mwenye kapelo akishuhudia mwili wa swahiba wake ukiingizwa chumba cha Maiti Muhimbili usiku huu.
IMG_20120407_073506
Msanii ambaye kwa sasa anakuja juu kwa kasi JB akiwa na masikitiko makubwa ndani ya chumba cha maiti Muhimbili.
IMG_20120407_073619
Mashabiki wakiwa wamekusanyika katika viunga vya hospitali ya Muhimbili. Habari za awali ambazo kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni Afande Kenyela amesema kuwa Kanumba alikuwa na kutoelewana kati yake na Mpenzi wake ambazo taarifa za awali zinasema waligombana na Kanumba alisukumwa na kugonga kichwa chini na mpenzi wake ambaye ametambuliwa kwa jina moja la Lulu.
Habari ambazo bado Spoti na Starehe haijazithibitisha zinasema kuwa Kanumba alikuwa akioga ili atoke na ndipo aliposikia mpenzi wake akiongea na simu na mtu mwingine alipotoka kumuuliza ndipo mzozo kati yao ukaanza na katika hali ya kusumunana Kanumba alisukumwa akaanguka na kugonga kichwa chini.
Afande Kenyela alisema alipigiwa simu na ndugu wa Kanumba ambaye walikuwa wakiishi pamoja na Kanumba na walipofika Pale walikuta tayari ameshakata roho ila bado inasubiriwa ripoti ya daktari.
Kamanda Kenyela pia amesema kuwa mpenzi wake Maerehemu Kanumba anashikiliwa na Polisi kwa uchunguzi zaidi. Lulu ambaye naye anag’aa kwenye tasnia ya Filamu amekuwa akigonga vichwa vya habari vya magazeti ya “udaku” kutokana na skendo za mara kwa mara za mahusiano ya kimapenzi, ni majuzi tu mwanadada huyu ametimiza miaka 18 tangu kuzaliwa.
Aidha nyumbani kwa marehemu Sinza kumejaa ndugu jamaa na marafiki kiasi barabara ya kwenda Lion kupitia Madukani inapitika kwa taabu.
Kanumba ambaye alizaliwa mwaka 1984 amefanikiwa kuzikonga nyoyo za mashabiki wa tasnia ya movie za Tanzania si tu kwa Tanzania bali hata nje ya nchi pia. Kwa mashabiki wa filamu za kibongo Kanumba alikuwa ni namba moja na kwa kiasi kikubwa aliweza kuweka viwango kwani alikuwa anafaa kwa kila kona kuanzia kuigiza mpaka kuvaa na adamu ya maisha tofauti na ma Super Star wengine hivyo kuwavutia watu wa rika lote. Kanumba anamaliza kipindi chake cha miaka 28 akiwa ameacha kumbukumbu ambayo itaishi kwa muda mrefu.
Mashabiki kupitia mitandao ya kijamii wameonyesha masikitiko yao ambapo kufika saa tisa usiku habari zilikuwa zikisambaa kama moto nyikani kupitia Facebook, Twitter na Blogs ikiwemo hii ya Spoti na Starehe ambayo ilikuwa moja ya wa kwanza kupata habari.
image
Lulu ambaye alikuwa na Kanumba wakati mauti yanamkuta.
image
Picha hii imepigwa na Shamim Mwasha nyumbani kwa marehemu asubuhi hii.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi – Ameni.

source sport-starehe.
[ Read More ]

STEVE KANUMBA HATUNAYE TENA!!

Taarifa zakuthibitika zilizo tufikia  zinasema muigizaji Steven Kanumba amefariki dunia usiku huu na mwili wake uko Muhimbili. Tutazidi kuwaletea habari kadri tutakavyo kuwa tunazipata.
R.I.P Kanumba
[ Read More ]

MAHAKAMA YATENGUA USHINDI WA GODBLESS LEMA



Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (katikati), akiwa amekaa na Mbunge Mteule wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (kushoto), akimpa moyo, baada ya hukumu kutolewa.

Mmoja wa wafuasi wa Chadema, Naomi Solomon (56), akiwa amepoteza fahamu, mara baada ya mahakama kutangaza kumtengua Ubunge Godbless Lema.
Makada watatu waliofungua kesi dhidi ya Lema, Agnes Mollel (kulia), Happy Kivuyo (mwenye koti jekundu) na mwisho Musa Mkanga, wakifurahi mahakamani mara baada ya hukumu kutolewa.


Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema katikati  akihutubia umati wa wafuasi wa chama hicho waliokuwa wamefurika mahakamani  kusikiliza shauri la kupinga ubunge wake, ambapo mahakama imeutengua ikidai Lema alikiuka sheria za uchaguzi na kuamuru uchaguzi urudiwe.
Askari polisi wakiwa eneo la mahakama wakiimarisha ulinzi muda mfupi baada ya mahakama kutengua ubunge wa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kutoka Chadema.
Lema akiwatia moyo wafuasi wa chadema katika eneo la mahakama baada ya kupokea matokeo ya kutengua ubunge wake leo, huku akieleza kuwa hata kata rufaa ila anasubiri tume ya uchaguzi itangaze rasmi kuanza kwa uchaguzi katika jimbo la Arusha Mjini.
Polisi wakiimarisha ulinzi mahakamani hapo.

Umati wa wafuasi wa Chadema ukisikitishwa na uamuzi wa mahakama ya mjini Arusha, ulitolewa na Jaji, Gabriel Rwakibarila wa mahakama kuu kanda ya Sumbawanga.

habari na global.p
[ Read More ]

MSIBA TANZANIA-MYSORE INDIA.


Jumuia ya wanafunzi watanzania waishio Mysore inchini india inasikitika kutangaza kifo cha baba mzazi wa wanafunzi wenzao Jonathan na Daphne pray kilichotokea nchini Tanzania.msiba utafanyika nyumbani Tanzania na maombi pamoja na kuwaaga wafiwa kwenda msibani yatafanyika nyumbani kwa wafiwa Dattagalli Mysore saa 10 jioni.

Mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema Amin.

ahsanteni

[ Read More ]

My childhood memories are right here.


All of my childhood memories are right here to this beautiful woman.It was nice growing up with someone like you someone to lean on, someone to count on... someone to tell on!..She is my mirror, shining back at me with a world of possibilities. She is my witness, who sees me at my worst and best, and loves me anyway. She is my partner in crime, My midnight companion, someone who knows when am smiling, even in the dark. She is my teacher, my defense attorney, my personal press agent, even am shrink. Some days, she's the reason i wish i was an only child..she was very strong and responsible.YES my big Sister.i love you and mic you a lot...
[ Read More ]