OoH! My dear Zanzibar Island,Mungu akupe nini tena,licha ya udogo wako ila una ardhi nzuri yenye rutba,una mali asili zenye kuvutia,una wasoma mengi wa maana wa kujivunia,una vipaji vingi ,za kuringia sehemu yeyote,una sauti nzuri nyororo iso kifani ,but look at you now my dear ni nani anaekufisidi na anaevifisidi vitu vyako? qasida hizi zinanifanya nikumiss sana na nidondeshe chozi juu yako zanzibar....
ZIARA YA DK SHEIN KISIWANI PEMBA
>


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Akiangalia karafuu zilizokatwa wakati zikisafirishwa kwa njia ya magendo.Karafuu hizo zikiwa zimehifadhiwa katika kituo cha ZSTC, huko katika Bandari ya Wete jana.(Katikati) ni mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein, (kushoto) Naibu Meneja wa ZSTC Pemba, Hamad Khamis Hamad

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Akisikiliza raisala ya wachumaji wa karafuu katika kambi ya daya Mtambe jana alipofanya ziara kutembelea kambi za wachumaji wa karafuu Mtambwe wilaya ya Wete

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK A,li Mohamed Shein Akizungumza na wananchi na wakulima wa karafuu katika banda la ZSTC Daya Mtambe ambapo ni kituo kikuu cha ununuzi wa zao hilo, linalopelekea kukuza uchumi wa Nchi.
You are the star of our family, you are the smile of my life. I wish you a very happy birthday and bless you with all my love and care. May God always take your care.I love you Brother.
[ Read More ]
ENJOY YOUR DAY SISTER LOVE YOU SOO MUCH.






































