DK. SHEIN AKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO NUNGWI AKIJUMUIKA NA WANANCHI KUPOKEA MAJERUHI NA MAITI
MMOJA wa Abiria aliyekuwa katika ajali hiyo Khamis Jabu Faki (62) akizungumza na Mwandishi wa Redio Zenj Fm Hafidh Kassim baada ya kufikishwa katika ufukwe wa pwani ya Nunwi akielezea jinsi ya ajali ilivyotokea.
WANANCHI wa Kijiji cha Nungwi wakiwa ufukweni mwa Bandari ya Nungwi wakiwasiliana na waokoaji wakiwa baharini.
MAJERUHI wa ajili ya Meli ya Spice wakipata huduma ya kwanza baada ya kuwasal katika bandari ya Nungwi baada ya kunusurika.
WANANCHI wakiwa katika Ufukwe wa Bandari ya Nungwi kuwatambua watu wao
MOJA ya boti inayoopowa maiti na majeruhi ikiwa na miili ya watu waliokufa katika ajali ya meli ikiwa katika bandari ya Nungwi.
HALI ya uokoaji ikiendelea katika pwani ya Nungwi.
WANANCHI na Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa na miili ya marehemu wakiitowa katika boti za uokoaji bandari ya Nungwi.
ASKALI wa Jeshi la Wananchi wakitowa msaada wa katika zoezi hilo la uokoaji wakiwa katika bandari ya Nungwi.
WATALII kutoka Nchi Ufaransa wakitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa Meli ya Spice iliozama katika Mkondo wa bahari ya Nungwi.
MSAADA hutolewa popote ndivyo inavyoonekana Watalii kutoka Ufaransa wakitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi
MTALII kutoka Ufaransa Jullie akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa mtoto aliyenusurika katika ajali ya Meli ya Spice baada ya kuokolewa wakiwa katika bandari ya Nungwi.
MWANDISHI wa habari gazeti laZanzibar Leo Ramadha Makame akimuhoji mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo katika ufukwe wa bahari ya Nungwi
Inna lillahi wa inna ilayh raajiun...hakika sisi sote ni waja wa Allah na kwake tu sote tutarudia..kwakweli tuwe pole sote.kwa mziba mzito ulotukumba..na Allah atupe moyo wa subra katika kipindi hichi kigumu mno...tupunguze maombelezi bali tutumie muda huu kuwaombea dua ndugu na rafiki zeti waliotangulia mbele ya haki.na tujiombee duo sisi Allah atupe hatma njema.na tuache kujilaumu juu ya tukio hili kwani Allah amepanga itokee hivyo binadamu huwezi kupingua....
Habari ziliifikia blog hii usiku huu wa saa 9 kutoka kwa mwana blog wetu Shariff wa
kisiwani znz watu zaidI ya 610 ,wamefariki dunia katika ajali ya meli ya 'Spice
Islanderiliyotokea njee kidogo ya visiwa vya zanzibar katika mkondo mkubwa wa nungwi.meli
hiyo inayofanya safari zake kutoka zanzibar kwenda kisiwani pemba ikiwa ina idadi kubwa
ya vijana na watoto waliotoka zanzibar kwa mapumziko ya ramadhani na sikuu ya eid fitri.
blog ya from coast imepokea kwa huzuni kubwa na masikitiko habari hizi.na INSHAALLAH
TUKO PAMOJA KATIKA WAKATI HUU MGUMU. ALLAH AKBAR.
HABARI ZAIDI ZITAWAJIA
When you love someone, you want them to be happy, no matter where that puts you. You want the best for them, you want to be there for them, you want to devote your life to them.
So, when a man hits you, does he love you? When he shoves you against walls, throws things at you, and apologizes later, does he love you?
No, I don't think he does.
When someone loves you, they want you to be happy, no matter where that puts them. They want the best for you, to devote their life to you. NOT TO HURT YOU!
When he begs and pleads even though he knows he's hurting you inside, when he manipulates you, runs your life, hates it when you hang out with anyone but him, gets mad at you for stupid reasons, and scares you, does he love you? No. He doesn't
But when you look into his eyes, and you love him so much, and you think about him all the time, and you break up with him for your own good, when you want him back even though he hurts you, when you miss him even though you were the one to walk away, when you're afraid to give that other guy the chance he deserves, because you want to run back to the abuse, do you love him?
Yes. You do. But he doesn't love you. And you did the right thing.
The right thing doesn't always seem right. It can hurt, make you cry all the time, but in the end, you will be happy. You can't see it now, but you will. You can't always see the silver lining to the cloud, but it is there.
The man that you once thought loved you, is really nothing more than an insecure little boy. You promise yourself that things will get better with him, but they never do. You promise that he won't hit you again, he won't shove you against that wall, he won't throw those movies at your head, but he does. You promise yourself that he has changed, that he really loves you, but he hasn't, and he doesn't.
That's not love. Yes, there are good times in between. Where he says he loves you and it seems like he means it, where you laugh and have a good time, you don't fight, he makes you happy.
But it always comes to an end. There will always be the fight, and each time it will get worse. Each time he goes a little farther, knowing that he scares you. Each time he won't listen, each time he loses himself a little more.
Abuse isn't love. You fool yourself into thinking he cares, into believing that he must love you if he cares enough to hit you. He hits you because he knows you'll stay, knows he can control you. He hits you because it gives him power, not because he loves you. In the end, you won't make it out alive. In the end, you will be broken. In the end..it will be..the end.
source noise blog.
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo John Mnyika [Chadema] ameongoza maandamano akwia na wapiga kura wake hadi kuvamia Ofisi za Kampuni inayosambaza maji katika Jiji la Dar es Salaam [Daweasco] kutaka kujua hatma ya matatizo ya maji katika jimbo hilo,
Jana Mnyika akwia na wapiga kura hao walivamia ofisi wananchi hao ili kujua ni kwa nini kampuni hiyo kutowapa majibu kuhusu malalamiko ya kukosa huduma hiyo kwa muda mrefu
Katika kero zilizowafikisha hapo ikiwemo kukosa maji kwa muda mrefu, ma mabomba yaliyowekwa na wachina kutosambaza maji hali inayowashangaza wakazi hao.
Katika kero zilizowafikisha hapo ikiwemo kukosa maji kwa muda mrefu, ma mabomba yaliyowekwa na wachina kutosambaza maji hali inayowashangaza wakazi hao.
habari na nifahamishe
Katika tukio ambalo si la kawaida, hausigeli mmoja wa nchini Marekani ambaye alikuwa ni mnene sana, alizimia ghafla na kumuangukia mtoto mchanga wa mwezi mmoja na kupelekea kufariki kwa mtoto huyo kutokana na kuelemewa na uzito.
i na ni
| Baba wa mtoto huyo aliyejulikana kwa jina la Michael Baldwin II ambaye ni mwandishi wa habari jijini New York, alikuwa nyumbani kwake akimuangalia mtoto wake mchanga wa mwezi mmoja kabla kutakiwa aende kazini mara moja na mwajiri wake. Michael alilazimika kumuita hausigeli Teresa Coffey, ambaye pia alikuwa ni rafiki wa mke wake ili aje amtunzie mwanae huyo wa kiume. Alipofika kazini, Michael alijaribu kumpigia simu Teresa mara kadhaa ili kujua hali ya mtoto wake. Baada ya kuona simu haipokelewi, Michael alirudi nyumbani ili ajue nini kimetokea mpaka hausigeli hapokei simu. Michael alimkuta Teresa akiwa amefariki amelalia uso chini kwenye kochi huku akiwa amepiga magoti sakafuni. Michael hakumuona mwanae, alijaribu kuzunguka kila chumba kumtafuta mwanae lakini hakufanikiwa kumuona. Hisia zilimtuma amnyanyue Teresa na ndipo alipomkuta mwanae akiwa amefunikwa na uzito wa Teresa akiwa tayari ameishafariki. "Nilimnyanyua Teresa na kumkuta mwanangu chini yake, alikuwa amelala huku mikono yake akiwa ameiweka tumboni mwake", alisema Michael. "Alikuwa amebadilika rangi kuwa kama wa bluu, nilimnyanyua na kumuita jina lake , nilijua tayari mwanangu ameishafariki", aliongeza Michael. Taarifa ya polisi ilisema kuwa Teresa alikuwa ni mnene sana na alikuwa na matiti makubwa sana huenda nyama nyama za mwili wake zilimfunika mtoto na kumfanya akose pumzi. Taarifa zaidi zilisema kuwa Teresa alikuwa akijulikana kuwa alikuwa akisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya na chupa ya dawa alizokuwa akizitumia ilikutwa pembeni yake. habari na nifahamishe. | ||




