ASKARI wa jeshi la polisi jijini Dar es Salaam amedaiwa kumpiga risasi Hassani Likanoga (24), mwanafunzi mtarajiwa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati alipokuwa wakipiga risasi gari moja lililodhaniwa kuwa ni la majambazi. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Julai 10 mwaka huu majira ya saa nane mchana katika eneo la Tandika jijini Dar es Salaam wakati polisi walipokuwa wakifukuza gari hilo aina
[ Read More ]