
ni baada ya kuzidiwa na kuzimia akiwa makaburini,amekimbikimbizwa hospitali
ni baada ya kuzidiwa na kuzimia akiwa makaburini,amekimbikimbizwa hospitali
Kuna uwezekano mkubwa ya baadhi ya watu kupoteza maisha katika msiba huu kutokana na watu kukanyagana! Japo hakuna taarifa kamili!!na huku baadhi ya watu wakiimba nyimbo uku wakikimbia haya ni baadhi ya maneno... "polisi tunamtaka lulu huyo aliy
Imeshindikana kabisa kwa jeneza kuingizwa makaburini Kinondoni.Kamati iko busy kuangalia nini cha kufanya na jeff msangi.twitt
Mkuu wa majeshi 1988 hadi 1994 General Ernest mwita kyaro afariki dunia.akiwa njiani kuelekea bugan
Msalaba Mwekundu wakiwa stand by na pia msaada unahitajika Watu wameisha anza kuzima na msalaba mwekundu umeanza kazi yao Watu wengi wanazidiwa na kuzimia.Jamaa wa Red Cross wanajitahidi kadiri wanavyoweza.They are doing an amazing job Ni majonzi Mgeni Rasmi Mama Salma alipowasili msibani na waombolezaji wengine Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbiliyini
mama wa marehemu akiwasili uwanjani hapo eneza lililobeba mwili wa Marehemu limewasili.Watu wanalia kwa uchungu sana.Wengi wanagombania kuligusa Kwa mbele red cross wakiwa uwanjani hapo kutoa hudu
Msanii nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba amefariki kutokana na tatizo la mtikisiko wa ubongo linalojulikana kitaalamu kama BRAIN CONCUSSION, taarifa za kitabibu zimeeleza. Taarifa hizo za ndani, zimepatikana jana baada ya jopo la madaktari bingwa watano wa hospitali ya taifa Muhimbili kuufanyia uchunguzi mwili wa marehem, zimeeleza kuwa tatizo hilo linaweza kumfanya mtu apoteze maisha mara