MBUNGE wa Jimbo la Ubungo John Mnyika [Chadema] ameongoza maandamano akwia na wapiga kura wake hadi kuvamia Ofisi za Kampuni inayosambaza maji katika Jiji la Dar es Salaam [Daweasco] kutaka kujua hatma ya matatizo ya maji katika jimbo hilo, Jana Mnyika akwia na wapiga kura hao walivamia ofisi wananchi hao ili kujua ni kwa nini kampuni hiyo
[ Read More ]