Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

MORNING FOG IN MYSORE





                                                                             8:30
[ Read More ]

[ Read More ]

Kitabu cha Wasifu wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Chazinduliwa Jijini Dar es Salaam





  Nakala ya kiingereza ya Kitabu cha Wasifu wa Jakaya Kikwete kama 
kinavyoonekana. Picha ya chini ni Profesa Nyang'oro akitia saini nakala
 za 
kitabu hicho zilizogaiwa bure kwa wageni wote waalikwa waliofika kwenye 
hafla hiyo. Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu
 Cha Dar es salaam kuanzia kesho tarehe 10-12-2010 kwa gharama ya
 shillingi 25,000/=
 Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru mwandishi wa kitabu 
cha wasifu wake na kuwasihi wana taaluma na 
watanzania wengine kuandika
 vitabu ili historia ya nchi yetu isipotee. Rais Kikwete 
ameyasema hayo wakati akizindua kitabu chake kilichoandikwa 
na Profesa Julius Nyang'oro. 

 Rais Jakaya Kikwete akisaini Vitabu wal;ivyopewa wageni 
mablimbali walioudhuria kwenye uzinduzi wa kitabu hicho 
ikulu jijini
 Dra es Salaa.Kushoto ni Waziri wa Michezo na Habari
  na Vijana
 na Utamaduni Emmanuel Nchimbi akichukua nakala ya kitabu 
chake kilichosainiwa na Rais Jakaya Kikwete.katikati na Waziri Mkuu
 Mstaafu Jaji Joseph warioba
  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa 
Mizengo Pinda na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba wakiongea 
na Profesa Nyang'oro ambaye ndiye mwandishi wa kitabu cha Wasifu wa 
JK wakati wa
 uzinduzi wa kitabu hicho. Kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni na 
Maendeleo ya Vijana Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi akizungumza na Waziri
 wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Shukuru Kawambwa.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Bwana Beno Malisa akizungumza na
 Miraji Kikwete kwenye uzinduzi wa Kitabu Cha Wasifu wa Jakaya Kikwete Ikulu jij
ini Dar es salaam.
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Wasifu wa 
Maisha yake, akishuhudiwa na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mwandishi wa 
kitabu hicho Profesa Julius Nyang'oro leo mchana Ikulu, Dar es salaam
Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Salama Kikwete naealikuwepo kwenye uzinduzi wa 
 kitabu cha Wasifu wa Jakaya Kikwete kilichozinduliwa leo Ikulu Dar es salaam.

[ Read More ]