Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Mimi bado ni CUF – Hamad Rashid

Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohammed Baada ya chama cha CUF nchini Tanzania kumfukuza uwanachama Mbunge Hamad Rashid , Mbunge huyo aibuka na kusema yeye bado mwanachama halali wa chama hicho. Anaeleza mambo yakiwa mabaya zaidi upande wake ataanzisha chama kipya cha siasa. Sudi Mnette amezungumza na Mbunge huyo wakati akifanya mkutano wake na waandishi wa habari muda mfupi uliyopita jijini Dar es

[ Read More ]

Ni uamuzi wa kihuni asema-Hamad

   Mbunge wa Wazi Zanzibar Hamad Rashid Mohamed (katikati),akiwa na wanachama wenzake katika kikao cha Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF)mjini Zanzibar jana, kabla ya kuanza kwa kikao cha kuamua hatma yao ndani ya Chama hicho, ambapo anatuhumiwa yeye na wenzake 13 kukisaliti Chama HATIMAYE Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed na wenzake watatu wamefukuzwa uanachama wa CUF kuanzia

[ Read More ]

HAMAD RASHID

  AudioPlayer.embed("pod_audio_1", {soundFile: "http%3A%2F%2Fmzalendo.net%2Fwp-content%2Fuploads%2Fmp3%2F2012%2Fjan%2Fmaamuzi_ya_cuf.mp3"}); Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la CUF limepitisha uamuzi wa kuwafukuza uanachama Hamad Rashid Mohamed, Doyo Hassan Doyo, Shoka Khamis Juma, na Juma Said Saani. Pia limempa karipio kali Yasin Mrot

[ Read More ]