(Pichani Mzee Nelson Mandela na Mtukuu wake Zanani mwaka 2008)
Habari za kusikitisha kutoka Afrika Kusini. Mtukuu wa Nelson na Winnie Mandela, Zenani mwenye miaka 13 amefariki katika jali ya gari. Habari kutoka huko zinasema kuwa walikuwa wanarudi kutoka kwenye sherehe za ufunguzi wa mashindano ya World Cup. Dereva wa gari alikuwa amelewa!
Pole sana familia ya Mandela. Mungu ailaze roho ya Zenani mahala pema . AMEN.