Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Taarifa ya Mwenyekiti wa TASAM




Assalam aleikum.


Ndugu watanzania, ikiwa ni mara ya kwanza kutoa salam zangu na shukrani za dhati kwenu ikiwa ni wiki ya 3 sasa baada uchauguzi kufanyika na kutumia haki yenu kuchagua uongozi mpya ukiongozwa na mimi kuchukua hatamu hii ya kuongoza chama chetu cha wanafunzi wa kitanzania Mysore kwa mwaka wa masomo 2010-2011.

Ndugu watanzania, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kuweza kufika hapa tukiwa katika hali ya amani na utulivu ijapokuwa juzi tarehe 18-04-2010 kulitokea kuchafuka kwa hali ya amani miongoni mwetu ila namshukuru Mwenyezi Mungu tumeweza kurudusha amani hiyo.

Ndugu watanzania, ikumbukwe ya kwamba baada ya Mwenyekiti wa TASAM aliepita Bi. Mwinga kutangaza kujiuzulu na kuvunja baraza lote la uongozi, watanzania walikusanyika na kuchagua kamati ambayo ingeshughulikia uchaguzi wote hadi kukamilika kwake na kukabidhi madaraka kwa uongozi utakaochaguliwa. Kamati ilichaguliwa na wajumbe walikuwa kama ifuatavyo:-
1. Fred Kapara, Mwenyekiti wa kamati
2. Faris Lyimo, Mjumbe
3. Abdul haji, Mjumbe,
4. Josephina, Mjumbe.

Ndugu watanzania kamati yetu iliendeleza kazi iliyoachwa na Mwenyekiti mstaafu Bi. Mwinga kutangaza uchaguzi na kugawa fomu kwa watu wenye sifa ya uongozi kama katiba ya TASAM ilivyohusisha sifa hizo. Kamati ilitangaza siki ya uchaguzi kwa watanzania wote na kutaka watanzania kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali. Bahati mbaya au nzuri ni watu wachache waliojitokeza kuchukua fomu hizo nikiwemo mimi na makamu wangu katika nafasi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti.

Ndugu watanzania, juu ya kwamba tarehe ya uchaguzi kutangazwa ila ni watanzania wachache walijitikeza kupiga hizo bila sababu ya msingi. Hata hivyo kutokana na sheria inayohusu uchaguzi (universal laws of election) kwamba uchaguzi hautahairishwa kwa kufika wati wachache katika vituo vya kupigia kura, kwani kutofika kwa yoyote kutumia haki yake basi atakua amaipoteza haki hiyo. Hivyo uchaguzi ulifanyika na uongozi mpya wa Tasam 2010-2011 uliingia madarakani.

Ndugu watanzania viongozi waliochaguliwa ni kama ifuatavyo

Hussein Milao, Mwenyekiti
Joanmery, Makamu Mwenyekiti,
Mohammed Ali, Katibu
Fayka Salum Naibu katibu
Shemsa Khalid, Mshika Fedha.

Ndugu watanzania, kutokana mambo yanawaohusu baadhi ya makundi ya watu hapa Mysore yasipelekee kupotosha watanzania na kuharibu amani iliyopo miongoni mwetu. Napenda kutoa wasiwasi kwa watanzania uongozi wenu tayari umeshawasiliana na ubalozi wetu New Delhi pamoja na Afisi ya Kamishna wa Polisi Mysore juu ya hali iliyotokea, hivyo tunawaomba watanzania tusijihusishe na hayo mambo yanayotaka kuletwa na baadha ya vikundi vya watu kutokana tu na uhasama uliopo kati yao na ninaomba zaidi tuzidishe nguvu yetu kwenye masomo yetu kwani hayo ndiyo mambo ya msingi yaliyotuleta hapa.

Mwisho napenda kukushukuruni zaidi kwa ushirikiano mnaonionyesha kila siku zinavyoenda mbele. Nawatakia watanzania wote mitihani mema, na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutafanya vyema na kupaisha jina la nchi yetu kimasomo hapa Mysore. Amin.

Mungu ibariki Tanzania. Amin.

Ahsanteni

HUSSEIN MILAO
MWENYEKITI, TASAM.
[ Read More ]

RAIN FURY KILLS SECURITY GUARD IN CITY

The heavy rains that lashed the Mysore city for the second day yesterday caused more havoc and also claimed a life. The unfortunate victim has been identified as Y.P. Murthy, a resident of Kumbarakoppal and son of late Puttaswmachari.

He was working as a security guard at Hotel Rajabhojana, opposite Vikrant Tyres.

The tragedy struck when Murthy was returning home after duty hours yesterday night. As there was a heavy downpour, he had taken shelter near the compound of a factory on KRS road, which collapsed and fell on him killing him on the spot.

On receiving information, Metagalli Police rushed to the spot and shifted the body to K.R. Hospital mortuary. The family members, who learnt about the incident only at midnight, identified the body at the mortuary today morning. Murthy leaves behind his wife, a son and a daughter.

According to Weather Department experts, heavy rains are expected till Friday.

[ Read More ]

Stop doing everything during the Adhaan

Dear Friends

This is most common among us...... most of us talk during Adhaan...Read this mail

The Holy Prophet (SAW) said, Stop doing everything during the Adhaan, even reading the Quran, the person who talks during the Adhaan will not be able to say the Kalima A Shahada on his/her death bed.... Please pass this message to Muslims...READ THIS DUAA FOR BETTER LIFE
Allahumma- inni- ala-Dhikr-ika- wa Shuk-rika wa husni-ibad-atika.

A very powerful Dua'a has been sent to you. What do you think you should
do with it. Imagine if 1000 people read it just because of you.

الرسول عليه الصلاة قال يجب علينا التوقف عن الحديث اثناء الاذان. حتى لو كان قراءة القران

الشخص الذي يتحدث اثناء الاذان لن يستطيع نطق الشهاده اثناء موته

ارجو نشر هذه الرساله لجميع المسلمين وتذكر لك مثل اجر من عمل به

لا اله الا انت سبحانك اني كنت من الظالمين


[ Read More ]

HERBAL JUICES.

[ Read More ]

THUNDER SHOWERS, HAILSTONES BRING DOWN MERCURY LEVEL IN MYSORE

Gusty winds that swept across the city for a few minutes after about seven in the evening yesterday led to thunder showers in all the extensions and hailstones in some areas

Following sharp showers for about half-an-hour to start with, the city received a steady drizle for the next two hours accompanied by thunder and lightning

Cool winds helped to bring down the mercury level by a few degrees, which continued through the night until dawn today.

Large-sized hoardings came down crashing at many places. One of them fell on a moving autorickshaw (KA 09 2436), causing injury to its driver Ravi and two passengers. The mishap took place near Vontikoppal temple. A number of electric lamp posts got bent and fell to the ground. Countless number of trees all over the city lost their huge branches as a result of the winds, affecting power supply.

Traffic was disrupted for nearly an hour on the stretch of KRS Road near Sri Lakshmivenkataramanaswamy Temple in Vontikoppal as the huge hoarding fell across the road. One of the traffic signal posts also got broken at the spot.
[ Read More ]

Hundreds dead in China earthquake


A series of quakes and aftershocks caused low, brick buildings in Qinghai Province's ethnically Tibetan Yushu county to collapse. Most of those killed were in the county seat, also known as Jyeku.

The Tibetan plateau is regularly shaken by earthquakes, but casualties are usually minimal because so few people live there. Troops have been dispatched to the area.

Many residents of the remote area could be left without shelter in temperatures that hover near freezing in Yushu, and even colder in the high mountain villages.

Government officials told state media the majority of houses have been badly damaged.

The Xinhua news agency reported that the early morning quake had caused some schools and part of a government office building to cave in. It said that some vocational school students and primary school students were trapped in the rubble.

The widespread collapse of school buildings when other surrounding buildings stayed standing, caused anger and accusations of corruption after the devastating May 2008 earthquake in Sichuan Province, which killed 80,000 people.

[ Read More ]

mtaani leo mchana.msimu wa maembe.umeanza...

                                                                          maembe

[ Read More ]

HAPPY-BIRTHDAY IS-HAK.

Jana ilikua birthday ya ishak..tukaona ni vyema tukajumuika pamoja kusherehekea siku yake hii.


na kukumbushia mambo yaleeee.matamu ya zenji..urojo....mhuu ulinoga.

tukapata picha pamoja.Happy people

na hii ndio ilikua zawadi yake toka kwangu......YOU'LL NEVER WALK ALONE. ....lol..abuu upo.??
mhuu birthday boy....and abuu....
tuliposhiba story zikaanza lol..raha kwelikweli tuli enjoy sana...abuu thanks..uliifanya siku yetu ya jana iwe complete..
[ Read More ]

jumaah mubarak.

[ Read More ]

WE ARE THE WORLD:FOR HAITI

Various artists.
[ Read More ]

Emotional Moments

[ Read More ]

Woman starts school at 102-years-old

Ma is 102. And as she slipped into her desk in a row of five-year-olds she became the world's oldest first-year pupil.

Ma,who looks 40 years younger than her age, never got a chance to go to school as a child.

She started work in a cotton mill at the age of 13. She was married at 18 and gave birth to nine children. Seven of them went on to university.

But she had always longed for a propereducation which was how she came to be seated in the front row of Grade One of Weshan Road Elementary School.

The new pupil wears a hearing aid and carries a big magnifying glass to help her during spelling lessons. She was supported by her son Yi Fengxin, a sprightly 58, as she came into class.

"I feel very happy that I can finally realise my dream of going to school at this age," said Ma.

The school offered her a place after reading about her long-held ambition when she was interviewed by a local newspaper.

She had sacrificed a lot to give her children a proper education.

Her son, Yi, said.: "My mother even sold her jewellery to help put us through school and her biggest dream was to go to school one day herself."

At the end of her first day at school Ma gave the class a stirring address: "Thank you teacher! Thank you my classmates! I'll study hard and make my contribution to the country."

[ Read More ]

PICHA : UCHAGUZI WA TASAM


























[ Read More ]

TANZANIA STUDENT ASSOCIATION MYSORE.( TASAM ) YAPATA UONGEZI .2010-2011








Huu ndio uongozi mpya wa tasam.kutoka kushoto ni mwenyekiti,msaidizi mwenyekiti,katibu,msaidizi katibu na mueka hazina.


chini ni wanafunzi wa kitanzania waishio mysore india waliojitokeza kuwachaguwa viongozi wao wapya.




















Tunaimani na uongozi mpya uliochaguliwa.tuna amini kwa kushirikiana tutasaidia kutatua matatizo ya wa Tanzania aishio nchini humu..
Blog ya fromcoast inawapongeza waliochaguliwa kuwa viongozi wapya na wote walio hudhuria kuja kupata haki yao ya msingi.Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI TASAM.


[ Read More ]