Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Rais Kikwete awasili Nairobi kuhudhuria kuapishwa kwa Rais mpya wa Kenya, Uhuru Kenyatta

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani leo April 9, 2013  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe

[ Read More ]