Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Nahodha meli iliyozama atahadharisha kuhusu uopoaji

NAHODHA wa meli ya MV Fatih iliyozama katika Bandari ya Malindi mjini Zanzibar wiki iliyopita, ameonya kuwa jitihada za kuopoa meli hiyo zisipofanywa kwa umakini, zinawesababisha uharibifu utakaosabaisha uchunguzi wa ajali hiyo kutokwenda sawa. Akizungumza na Mwananchi jana ikiwa ni mara yake ya kwanza kuzungumza tangu kutokea kwa ajali hiyo, Nahodha Usi Ali Ussi, alisema taarifa kuwa meli hiyo

[ Read More ]

Wabunge waipania bajeti ya Waziri Mkulo waonya inaweza kuvunja bunge

BAJETI ya serikali kwa mwaka 2009/2010, imekaa vibaya na inaonyesha kuwa Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo, atakuwa na wakati mgumu wakati atakapoisoma bungeni Juni 11 kutokana na baadhi ya wabunge kutangaza dhahiri kutoa shilingi huku wakionya kuwa huenda hata bunge likavunjwa. Onyo la wabunge hao ambao wengi ni kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kusini, limekuja baada ya Mkulo kuwasilisha

[ Read More ]

Aliyetoka gerezani kwa msamaha, auawa

Mkazi wa Kijiji cha Hombolo, mkoani hapa, Chibenene Fwaru (50) aliyekuwa ametoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Omar Mganga alisema Polisi inaendelea na msako wa waliohusika katika tukio hilo lilitokea juzi kijijini hapo. Kamanda alisema Chibenene alikatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake.

[ Read More ]