Akipokea kwa heshima Gwaride la vikosi vya ulinzi Akikagua gwaride lililoandaliwa kwa niaba yake Akisalimiana na Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif HamadAkisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais Idd Seif ( Hawa ndio vigogo waliopewa dhamana ya kuliongoza taifa) Akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir KifichoAkisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar