
Kisiwa cha Mafia Sisi kama wenyeji wa kisiwa hichi na wenye nia uchungu na kisiwa hiki tumesikitishwa na hatua ya baadhi ya wenye mahoteli ya kitalii kwenye kisiwa hichi pamoja na uongozi mzima wa wilaya (DC) na halmashauri kutoa kibali kwa kundi la burudani toka Ugiriki kuja kufanya vitendo vya ushoga kwa kutumia mgongo wa Tamasha la muziki. Pia tumesikitishwa uongozi hapa Mafia kukubali kutoa