Wahitimu wa somo la Law and Shariah wakitunukiwa Shahada ya digrii ya somo hilo,wakati wa mahafali ya nane katika Chuo kikuu cha Zanzibar Tunguu,yaliyofanyika jana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akimpongeza Mtoto wake Asha Ali Mohamed Shein,wakati wa kutunukiwa Shahada ya Digrii ya Law & Shariah,katika mahfali ya nane,yaliyofanyika jana
BENDI ya Kikosi cha Askari Magereza wakiongoza Maandamano ya Uzinduzi wa Tamasha la Sauti ya Busara Zanzibar likipita mitaani wakati wa sherehe zahizo. WASANII wa Kikundi cha Ngoma ya Benbati nao hao wakijukuika. WASANII wakishiriki maandamano ya Uzinduzi. NAO wacheza ngoma ya Mbwa kachoka(beni) wakiwa katika maandamano ya uzinduzi wa Tamasha la Busara Zanzibar. WASANII