Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Sheikh Mansoor Al-Busaid baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Sheikh Mansoor Al-Busaid ofisini kwake Migombani. Makamu