Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MKEWE!

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda, imemhukumu Haruna Ndayage (54), mkazi wa mtaa wa Kashaulili, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuingilia mkewe kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, Desdel Magezi, baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashtaka. Alisema shahidi wa tano ambaye ni daktari

[ Read More ]

Moto Wateketeza Soko Jingine Jijini Mbeya

Jiji la Mbeya liko kwenye taharuki hivi sasa kufuatia ajali ya moto unaoendelea kuwaka katika soko la Sido, ambako wafanyibiashara wa lililokuwa soko la Mwanjelwa walihamia baada ya soko hilo la awali kuungua.

[ Read More ]