Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

SIMU ZA VIGANJANI ZANYE TELEVISHENI KUATHIRIWA NA UZIMAJI WA MITAMBO YA ANALOJIA LEO



BAADHI ya watumiaji wa simu za viganjani zenye televisheni ni miongoni mwa watu watakaoathirika na uzimaji wa mitambo ya utangazaji wa televisheni ya mfumo wa analojia.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, wakati Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasialiano nchini  (TCRA), akitoa taarifa kuhusu uzimaji wa mitambo hiyo ya analoji kwenda dijitali, kwa mkoa wa Dar es Salaam, Injinia Endrew Kisaka alisema hali hiyo inatokana na simu hizo kuunganishwa na mfumo huo.
Alisema  simu hizo zitakosa huduma hiyo ya matangazo hadi pale kampuni hizo za simu kwa shirikiana  na malaka hiyo kuzindua mfumo utakaokwenda sambamba na dijitali hivi karibuni.
Injinia Kisaka, alisema uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika haraka ili kuepusha usumbufu unaoweza kujitokeza kwa watumiaji wa simu hizo.
Akifafanua zaidi kuhusu changamoto kuhusu ving’amuzi, alisema endapo utatokea usumbufu wananchi wasisite kurudi sehemu waliko nunua king’muzi hicho kwa maelezo zaidi.
“Unajua kuna baadhi ya maeneo kama vile yenye majengo marefu na mabonde ambapo maeneo hayo hukosekana ‘signal’ sasa mkiona hivyo rudini kwa wauzaji wenu wawape ushauri wa kitaalamu utakaosaidia kupata matangazo hayo kwa ubora”alisema Kisaka.
Naye  Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Prof. John Nkoma alisema serikali imejitahidi kuondoa kodi katika kuingiza ving’amuzi ambapo imesaidia kupunguza bei na kuwa sh 39,000 ambayo anaamini kila Mtanzania atamudu kukipata.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekuwa ikitoa elimu kwaumma kwa kiwango  chakuridhisha,hivyo uhamaji hautakuwa na usumbufu kwa watumiaji wa huduma za utangazaji.
 
Pamoja na hayo, alieleza mabadiliko hayo hayatahusu
utangazaji kwa satelaiti, waya (cable) na redio.
NA  FULLSHANGWEBLOG.COM DAR ES SALAAM
[ Read More ]

Rest in Peace.


She was a student, 23 years old, Her fault some people say because she boarded the wrong bus, And oh yeah
SHE WAS A GIRL, Six men raped her one by one and then used an iron rod to tear her vagina-Small intestine and large intestine came out They left her to die on the road Naked! Wounded! Exposed! Devastated What’s more is that no one even turned to look at her No one even bothered to throw a shawl on the ill-clad ill-fated girl
She can never live a normal, married life again She Went into coma five times since 16th December She was unconscious Critical and hasn't been able to stop crying But don’t worry She wasn't your sister She wasn't your daughter But she could be. The brutality has to stop right here guys These people deserve capital punishment for
their cruel, Perverted act She died yesterday Saturday 29th December 2012 Rest in Peace♥ and I pray that her killers get the WORST punishment possible This doesn't only happen in India. But in every country around the
world, Is this how we treat our women? It Makes me ashamed to even live on this planet today.May your Soul Rest in Peace. Amin.
[ Read More ]

Mwili wa mhanga wa ubakaji wachomwa


A girl lights candles during a candlelight vigil for a gang rape victim who was assaulted in New Delhi, in Kolkata December 29, 2012. A woman whose gang rape provoked protests and a rare national debate about violence against women in India died from her injuries on Saturday, prompting promises of action from government that has struggled to respond to public outrage. REUTERS/Rupak De Chowdhuri (INDIA - Tags: CIVIL UNREST CRIME LAW TPX IMAGES OF THE DAY)
Mhanga wa ubakaji na mauaji yaliyozusha maombolezo makali pamoja na hasira nchini India amefanyiwa taratibu za mazishi kwa kaida za Kihindi, kwa kuchomwa tukio lililofanyika kwa faragha leo Jumapili30.12.2012).
Tukio hilo lilifanyika saa kadhaa baada ya mwili wa marehemu kurejeshwa nchini humo kutoka Singapore.
Mwanamke huyo ambaye hakutajwa jina lake mwenye umri wa miaka 23, ambaye alisababisha maandamano makubwa nchi nzima tangu aliposhambuliwa kinyama katika basi mjini New Delhi wiki mbili zilizopita, alichomwa moto bila kuwapo watu ambao wangeshuhudia tukio hilo kwa ombi la wazazi wake waliokuwa na fadhaa kubwa.
Undertaker Roland Tay (L) and his crew carry the coffin of an Indian rape victim into a van as they leave a funeral parlour for the airport in Singapore December 29, 2012. A woman whose gang rape sparked protests and a national debate about violence against women in India died of her injuries on Saturday, prompting a security lockdown in New Delhi and an acknowledgement from India's prime minister that social change is needed. REUTERS/Edgar Su (SINGAPORE - Tags: OBITUARY CRIME LAW TPX IMAGES OF THE DAY) // eingestellt von se 
Mwili wa marehemu ukichukuliwa katika jeneza
Taratibu za mazishi
Taratibu hizo za mazishi za kuchoma moto , zilifanyika baada ya ndugu na marafiki kufanya taratibu za mwisho za maombi kwa muda mfupi katika wilaya ya kusini magharibi ya Dwarka mjini Delhi, kwa mujibu wa waombolezaji ambao wamemweleza msichana huyo ambaye alikuwa mwanafunzi wa taaluma ya udaktari kuwa alikuwa mtu anayetambulika na wengi na mwenye kipaji.
"Nimekuja kwa sababu nilikuwa nampenda kwa dhati msichana huyu. Alikuwa mtu mwenye uwezo mkubwa kuliko wasichana wengine wote katika eneo tunakoishi," amesema Meena Rai, ambaye alikuwa rafiki wa karibu na jirani.
Waziri mkuu awataka Wahindi kuwa watulivu
Waziri mkuu Manmohan Singh na Sonia Gandhi, kiongozi wa chama kikuu tawala cha Congress, walikuwa katika uwanja wa ndege mjini New Delhi kuwapa pole wazazi wa msichana huyo wakati mwili wake ulipokuwa ukiwasili nyumbani kwa ndege ya kukodi ikiwa na mwili wa mtoto wao.
India's high commissioner to Singapore T.C.A Raghavan (2ndL) walks along the corridor to speak to journalists at the Mount Elizabeth hospital after the announcement of the death of the Indian gang-rape victim, in Singapore on December 29, 2012. The victim, 23, died Saturday in Singapore after suffering severe organ failure, the hospital treating her said, in a case that sparked widespread street protests over violence against women. AFP PHOTO/ROSLAN RAHMAN (Photo credit should read ROSLAN RAHMAN/AFP/Getty Images)Balozi wa India nchini Singapore T.C.A Raghavan katika hospitali ya Mount Elizabeth
Baada ya matibabu ya awali katika hospitali mjini Delhi , alipelekwa nchini Singapore siku ya Jumatano usiku. Lakini madaktari wameshindwa kuzuwia viungo vyake kadha vilivyoshindwa kufanyakazi na alitangazwa kuwa amefariki katika saa za alfajiri siku ya Jumamosi(29.12.2012).
Kifo chake kilisababisha serikali kuahidi ulinzi bora zaidi kwa wanawake, na tathmini ya kina kwa taifa hilo ambapo matukio ya ubakaji hutokea kila siku na udhalilishaji huo wa kingono hupuuziwa kila mara, kama mchezo wa mzaha tu.
An Indian girl participates in a protest to mourn the death of a gang rape victim, in Bangalore, India , Saturday, Dec. 29, 2012. Shocked Indians on Saturday were mourning the death of the woman who was gang-raped and beaten on a bus in New Delhi nearly two weeks ago in an ordeal that galvanized people to demand greater protection for women from sexual violence. (Foto:Aijaz Rahi/AP/dapd). // eingestellt von se Msichana akishiriki katika maandamano India
Wimbi la maandamano lilizuka nchini India tangu shambulio hilo usiku wa Desemba16 wakati mwanamke huyo alipofanyiwa unyama huo pamoja na kushambuliwa kwa kupigwa kwa chuma, na kusababisha kupata majeraha mabaya tumboni.
Mishumaa yawashwa kumuenzi marehemu
Maelfu ya watu walishiriki katika tukio la kuwasha mishumaa usiku siku ya jumamosi (29.12.2012) baada ya waziri mkuu Singh kuongoza miito ya kuwataka watu kuwa watulivu na kuepusha kurejewa kwa maandamano yaliyokuwa na ghasia.
Indian students and activists carry placards at India Gate during a protest following the gang-rape of a student in New Delhi on December 19, 2012. Indian police December 17 arrested the driver of a bus a day after a student was gang-raped and thrown out of the vehicle, reports said, in an attack that has sparked fresh concern for women's safety in New Delhi. The attack sparked new calls for greater security for women in New Delhi, which registered 568 rapes in 2011 compared with 218 in India's financial capital Mumbai the same year. AFP PHOTO/ SAJJAD HUSSAIN (Photo credit should read SAJJAD HUSSAIN/AFP/Getty Images)Wanafunzi na wanaharakati wakishiriki maandamano nchini India
Msichana huyo alitarajia kuolewa na mpenzi wake ambaye nae alijeruhiwa katika shambulio hilo, amesema hayo Meena Rai , ambaye amekuwa akifanya ununuzi kwa ajili ya maandalizi ya haurusi hiyo na marehemu. Harusi ilikuwa inatarajiwa kufanyika mwezi Februari mwaka ujao.


source:dw
[ Read More ]

Muhanga wa ubakaji India afariki dunia


rape case
Mwili wa mwanamke wa India ambaye amefariki hospitalini nchini Singapore baada ya kubakwa kinyama mjini New Delhi ulitarajiwa kurejeshwa nyumbani siku ya Jumamosi (29 Disemba). Balozi  wa India  nchini  Singapore, T. C. A Raghavan  amewaambia waandishi  habari kwamba mwanamke huyo alifariki kutokana na viungo vyake kushindwa kufanya kazi akiwa anapatiwa matibabu. Endelea…
[ Read More ]