WATOTO wanne wa mtaa mmoja wamekufa kutokana na kifo cha maji baada ya watoto hao kutoroka majumbani mwao na kwenda bichi kuogelea na kifo kuwakuta huko.Watoto hao majirani wameacha simanzi na vilio kutawala katika eneo la Jangwani Mchikichini jijini Dar es Salaam kutokana na watoto hao wanne majirani kufa maji ka pamoja wakati walipokwenda kuogelea.Akitoa taarifa hiyo kwa wanahabari jijini jana,
[ Read More ]