Hivi karibuni tumeshuhudia katika vyombo vya habari madhara makubwa yaliyotokea Japan kutokana na mtetemeko mkubwa wa Ardhi pamoja na Tsunami. Maelfu ya watu wamefariki na wengine bado hawajulikani hatima yao kutokana na mawimbi makubwa yenye kina cha mita kumi kufika ardhini kwa kasi na kuharibu kila kilichosimama. Madhara makubwa yametokea katika mji wa Sendai kaskazini mashariki mwa Japan na sehemu