
Sasa hivi wanawake/wasichana wengi ni madereva...wanaendesha magari sana tu tofauti na ilivyokuwa zamani ambapo wanaume ndio walikuwa wengi wana magari na wanaendesha magari. Wanawake sisi tumeshajiwekea kichwani kwamba sisi tunaendesha tu gari na kazi yetu ni kuweka mafuta tu kwenye gari(petrol/deasel) basi.Au kuhakikisha gari safi lakini mengine ni kazi ya wanaume...sio kweli kuna vitu ambavyo