
Huu ndio uongozi mpya wa tasam.kutoka kushoto ni mwenyekiti,msaidizi mwenyekiti,katibu,msaidizi katibu na mueka hazina.chini ni wanafunzi wa kitanzania waishio mysore india waliojitokeza kuwachaguwa viongozi wao wapya. Tunaimani na uongozi mpya uliochaguliwa.tuna amini kwa kushirikiana tutasaidia kutatua matatizo ya wa Tanzania aishio nchini humu..