Jumuia ya wanafunzi watanzania waishio Mysore inchini india inasikitika kutangaza kifo cha baba mzazi wa wanafunzi wenzao Jonathan na Daphne pray kilichotokea nchini Tanzania.msiba utafanyika nyumbani Tanzania na maombi pamoja na kuwaaga wafiwa kwenda msibani yatafanyika nyumbani kwa wafiwa Dattagalli Mysore saa 10 jioni.
Mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema Amin.
ahsanteni