Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

UNAPAFAHAMU MURAMBI(memorial centre) nchini RWANDA?


Palikuwa pakitambulika kama Murambi technical school kablamauji ya Rwanda (Rwanda genocide)1994.Lakini sasa panaitwa Murambi memorial centre kwani ndio eneo ambalo mauaji makubwayalitokea.Tarehe 16 mwezi wa 4 mwaka 1994 watu wengi (tutsi)wanaokadiriwa kufikia 65,00 walikimbiliaeneo hilo la shule kujificha na waliweza kujitetea kwa mawelakini tarehe 21 wakazidiwa ambapo watu 45,ooo waliuwawa.Wengine walifanikiwa kukimbia ambapo walikimbilia kanisanilakini baada ya siku mbili nao waliuwawa baada ya mapadri kuwaita wauaji.


Kwa sasa Murambi pamebaki kama memorial centre,watu
hutembelea na kuona mabaki ya miili ya watu ambao walikufa
katika mauaji hayo.





Huyu alitambuliwa kwa kukutwa kitambulisho katika nguo zake 
alikuwa akiitwa Patrick.


Mabaki ya mifupa ya watu 


Hili ndio lile kanisa ambalo watu walikimbilia kujificha 
wakijua ni 
sehemu salama na mapadri wakawakaribisha wakidhani
 wameokoka.
Dakika chache viongozi wa kanisa wakawaita wauaji
 kilichofuata ni 
mapanga.Kanisa lilikuwa linafahamika kwa jina la Chibeho.


Kanisa hili pia limebaki kama sehemu a makumbusho 
kwani miili
 haikutolewa iliachwa hapo hapo ambapo mpaka sasa
 ndio 
panaonekana hivi kama unavyoona pichani. 



Hii yote ni mabaki ya miili ya watu kanisani humo,
nje tu ya kanisa
 hili kumezikwa watu zaidi ya elfu 23 lakini idadi 
ya ndani ilikuwa 
ngumu kuhesabiwa kwa kuwa walikatwa katwa sana. 

Picha zaidi kutoka kanisani humo

Miili kwa sasa imekauka

Hapa ni tofauti na kanisani hii ni sehemu ya memorial
 centre ya 
Murambi na hiyo ni mifupa ya wau ambayo
 imekusanywa na 
kuifadhiwa humo.


Mafuvu kama yanavyoonekana.
Jeneza hili ambalo linaonekana pichani likiwa pekee ni la
 mwanamke ambae aliuwawa kikatili kwa kupasuliwa tumbo
 kisha akachomwa mti sehemu za siri ukatokea kichwani na
 ilikuwa karibu na pasaka.
Hizi ni baadhi ya picha zinazopatikana hapo lakini kuna vitu 
humo ndani ambavyo huwezi kuruhusiwa kuchukua picha kwa 
kuwa vinatisha zaidi ya hizi picha tulizozipata.
Kwa sasa Rwanda ni salama nhini ya raisi wao Paul Kagame.


Asante kwa Anod Kayanda kwa kutupa picha hizi na pole kwa 
yule ambae zitakuwa zimemkwaza.

source dina marios blog.
[ Read More ]