Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

[ Read More ]

DK SHEIN MGENI RASMI MAHAFALI YA SABA SUZA

DHAMIRA ya kuwa na walimu waliofuzu katika kiwango cha Shahada imeanza kufikiwa na katika kipindi kifupo kijacho walimu wote wa skuli za sekondari hapa Zanzibar watakuwa na Shahada ya Chuo Kikuu.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), aliyasema hayo katika Mahafali ya saba ya Chuo Kikuu hicho

[ Read More ]

VODACOM YAWAFARIJI WAATHIRIKA.

Sehemu ya shehena ya magodoro 430 yaliyotolewa msaada na Vodacom kwa waathirika wa maafa ya Dar es salaam yakiwa tayari kukabdhiwa kwa kamati ya maafa ya mkoa wa Dar es salaam. Mbali na magodoro Vodacom ilikabidhi pia mablanketi 480 na vyakula vyote vikiwa na thamani shilingi 30 milioni kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii wa Vodacom Foundation. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw. Sadiq Meck

[ Read More ]