Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Mungu ibariki Tanzania.

    Uongozi mtamu lakini mgumu .So sad!! i am so sure kuwa Rais kikwete yupo katika wakati mgumu sana,pale watu uliowaamini wanaposhindwa kuwa waadilifu, Mungu muongoze aweze kuivusha vyema Tanzania, sometime we need to think positive and its negative . Uadilifu ni kitu kigumu sana tofauti na watu wanavyofikiria.kazi nzuri kwa waliofanikisha kujiuzulu kwa mawaziri..ila siku zote lazima tuelewe

[ Read More ]

BREAKING NEWS:

 Mawaziri nane wajiuzulu.Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu, Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Kilimo Chakula na Ushurika Jumanne Maghembe na Waziri wa Afya,

[ Read More ]