Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

ALIYEMVAA KAKA KATIKATI YA UWANJA AWA SHUJAA

  KIJANA Mtanzania aliyeingia uwanjani na kwenda moja kwa moja kumkumbatia kiungo nyota wa Brazil, Ricardo Kaka amekuwa gumzo na ‘shujaa’ kwa mashabiki wa soka nchini. Kijana huyo ambaye jina lake halikufahamika mara moja aliingia uwanjani wakati mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya Taifa Stars na Brazil inaendelea na kwenda kumkumbatia Kaka. Mashabiki walionyesha kuvutiwa naye na kuanza

[ Read More ]