Habari zilizotufikia hivi punde zinasema msani wa sanaa hapa nchini anayefahamika kwa jina Juma Kilowoko jina la sanaa SAJUKI amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya taifa muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu. endelea kutufuatilia tutakuletea habari zaidi baadaye kidogo..
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.
source itv