UPANDE wa utetezi unaoisimamia kesi ya washitakiwa wa kuzama kwa meli ya Mv. Spice Islanders, imemshauri Kaimu Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar, Essaya Kayange, kuihamishia kesi hiyo Mahakama Kuu ili maamuzi ya kisheria yaweze kupatikana.Upande huo wa utetezi ulidai kuwa, katika kesi hiyo kuna baadhi ya mambo ya msingi ambayo mahakama hiyo haina uwezo wa kuyatoa kwa mujibu wa sheria, badala yake lazima
[ Read More ]

Baridi kali barani Ulaya. Baridi iliyoleta kizaazaa barani Ulaya imekwishaua watu 164, huku watu wanaoishi katika nchi za Ukraine na Italia wakiwa katika shida kubwa ya kukabiliana na viwango vya baridi ambavyo vimevunja rekodi barani Ulaya. Vijiji vyote vilivyopo katika eneo la mashariki ya Ulaya vilipoteza mawasiliano hapo jana kutokana na baridi kali na theluji, huku