Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Rais wa Kwanza Maalim Seif Sharif Hamadi,wa CUF leo,Ikulu Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,(kushoto)akimuapisha Makamo wa Rais wa Pili Balozi Seif Ali Iddi,wa Chama Cha Mapinduzi,CCM katika hafla Iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha
Kifo cha Mtanzania mwenye asili ya Asia, Bw. Patel ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uhasibu na Ukaguzi wa Mahesabu ya P. S. Patel & Co, kilichotokea jana asubuhi baada ya kujirusha kutoka ghorofa ya nne jengo la Red Cross jijini Dar es salaam, kimezua maswali mengi kuliko majibu. Kabla ya kutoka ofisini kwake na kwenda kujirusha, Patel aliacha ujumbe wa maandishi uliokutwa mezani