Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

HABARI YA MSIBA..

Binti wa Marehemu Rashid Kawawa , Habiba Kawawa amefariki  jioni ya Leo siku chache kabla ya arobaini ya baba yake katika hospitali Ya Taifa ya Muhimbili majira ya saa kumi na Mbili Jioni….Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Habiba huko TegetaMungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi..Ami

[ Read More ]

Mwili Wa Imran Mtui Wawasili Dar Leo, Wasafirishwa Kuelekea Moshi Kwa Mazishi

Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Imran Mtui likiingizwa kwenye gari tayari kwa kusafiri kwenda Moshi. Dada wa marehemu na waombolezaji wakilia kwa uchungu wakati jeneza likiingizwa kwenye gari tayari kwa kusafirisha mwili kwenda moshi Mjini kwa mazishi.  Rais Mstaafu wa Chama cha Wanafunzi waishio Bangalore (TASABA) Bw. Baraka Kange akizungumza na waandishi wa habara mara wakati wakisubiri

[ Read More ]

MOTHER, DAUGHTER, SON COMMIT SUICIDE

  In a heart-rending incident, three members of a family committed suicide by consuming poison in Bogadi near here last night. The deceased have been identified as Mangalamma (48), wife of Shivanna, her son Bhyrava (28) and daughter Lakshmi (22), wife of Swamy. They allegedly ended their lives in their house behind Government School on Bogadi. Lakshmi is survived by two sons Preetham, 7,

[ Read More ]

Wanne wa familia moja wateketea kwa moto wa jenereta

WATU wanne wa familia moja wamekufa kwa moto baada ya jenereta lililokuwa limefungiwa katika moja ya chumba ndani ya nyumba hiyo kupasuka na kuwaka moto Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamka leo, huko maeneo ya Kibwenzini Zanzibar wakati watu hao wakiwa wamelala ndani humo. Ilidaiwa kuwa jenereta hilo liliripuka majira ya saa 11 za alfajiri na kuzua moto uliosababisha vifo hivyo. Ilidaiwa

[ Read More ]