
mwanafunzi mmoja wa darasa la sita anayejulikana kwa jina la Isaya Magese, 14, ameuawa kwa kuchomwa kisu na mwanafunzi mwenzake katika sehemu ya titi lake la kushotoKaimu kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Charles Nyanda alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 16 mwaka huu majira ya saa 1:00 jioni katika Kijiji cha Kisesa kilicho katika Kata ya Kolandoto, Shinyanga.Alisema aliyefanya mauaji hayo,