
Vingozi mbali mbali wa serikali waliohudhuria katika sala ya kumsalia maiti Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa kwenye hatuwa ya mwishi ya kumsindikiza ndugu yao katika makaburi ya kisutu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Mstaafu wa Hesabu za Serikali wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Bwana Mohd Aboud Mohd aliyefariki Dunia Nchini India amezikwa katika makaburi ya Wangazija