Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Picha za Mwili wa Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili.

  Maofisa wauguzi wakiuingiza mwili wa Marehemu Kanumba chumba cha Mauti katika hospitali ya Muhimbili. Ray Kigosi mwenye kapelo akishuhudia mwili wa swahiba wake ukiingizwa chumba cha Maiti Muhimbili usiku huu. Msanii ambaye kwa sasa anakuja juu kwa kasi JB akiwa na masikitiko makubwa ndani ya chumba cha maiti Muhimbili. Mashabiki wakiwa wamekusanyika katika viunga vya hospitali ya Muhimbili.

[ Read More ]

STEVE KANUMBA HATUNAYE TENA!!

Taarifa zakuthibitika zilizo tufikia  zinasema muigizaji Steven Kanumba amefariki dunia usiku huu na mwili wake uko Muhimbili. Tutazidi kuwaletea habari kadri tutakavyo kuwa tunazipata. R.I.P Kanu

[ Read More ]