Waumini wa kiislamu wakiomba duwa baada ya kumsalia Baadhi ya waumini waliohudhuria mazikoni wakiitikia duwa iliyokuwa ikiombwa kumuombewa Mzaa Machaprala Sehemu ya umati wa waumini waliohudhuria mazishi wakijipanga kwa ajili ya kuliupokea jeneza lililobeba mwili wa Ustaadh Machaprala WANANCHI wakibeba jeneza lenye mwili wa Marehemu Maulid Machaprala baada ya kusaliwa msikiti
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akishiriki na waumini wengine wa dini ya kiislamu kusalia Jeneza la marehemu Msanii Mzee Maulid Mohammed Machaprala, katika msikiti Nambar,Kisiwandui Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein,alishiriki katika mazishi ya Msanii maarufu wa muziki wa Taarab,Maulid Mohamed Machaprala,aliyefariki na kuzikwa jana kijijini Bambi,wilaya