Kamati kuu ya CCM iliyofanya mkutano wake leo jioni mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, imempitisha Mohamed Raza kuwa mgombea wa kiti cha uwakilishi jimbo la Uzini, Unguja kwa tiketi ya chama hicho. Kamati hiyo imempitisha baada ya mchuwano mkali na kuwepo kwa njama za kumtema Raza huku wapinzani wake wakidai kuwa Raza hana elimu ya kidato cha nne, ana uraia
[ Read More ]