Jaji Mkuu wa Zanzibar(aliyestaafu leo) Hamid Mahmoud akifafanua jambo wakati akizungumza mara baada ya kuwaapisha Mahakimu wa Mkoa, Wilaya na Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar jana(kulia ni Wakili maarufu, Hamid Mbwezeleni)
Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud (kulia) akimwapisha Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, George Joseph Kazi ( katikati) katika sherehe fupi zilizofanyika Mahakama Kuu jana Mjini Zanzibar
Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud (kulia) akimwapisha Valentina Adrew Katemar kuwa Hakimu wa Mahakama ya Mkoa (wa katikati) huku Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar George Joseph Kazi kulia akishuhudia
Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud (kulia) akimwapisha Fatma Muhsin Omar kuwa Hakimu wa Mahakama ya Mkoa (katikati) huku Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar George Joseph Kazi
(wa kwanza kushoto) akishuhudia.
Picha zote na Hamad Hija ,MAELEZO Zanzibar