Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, leo imezaliwa upya kwa kuzindua nembo na rangi mpya za kampuni yake na kuahidi kuboresha huduma zake kwa wateja wake. Akiongea mbele ya waalikwa mchana huu katika hoteli ya Kempinski, Mkurugenzi Mtendaji Bw. Dietlof Mare(pichani) alisema kuwa kampuni yake siyo tu imebadilisha rangi, bali imeboresha na huduma zake pia, kuanzia mawasiliano ya simu hadi M-pesa.
..Mkurugenzi wa Radio One/ITV Bi. Joyce Mhaville akiwa na Mkurugenzi wa Star TV/Radio Free Africa, Samuel Nyalla
wanahabari Willy edward (kushoto), Gerald Hando na Bi. Regina Mwalekwa....mwana Blog...Haki Ngowi (kulia)
mwimbaji Carola KinashaBi. Mwamvita Makamba with a smile baada ya uzinduzi wa rangi mpya wa kampuni yake
source:gpl