Wanawake wawili wafanyabiashara wa nchini wametiwa mikononi mwa walinzi wa raia na mali zao mjini Morogoro wakidaiwa kukwapua kitita cha fedha kiasi cha Shilingi milioni 4.4 za kitanzania. Taarifa za kipolisi kutoka Moropgoro zinapasha kuwa wanawake hao walikwiba fedha hizo mali ya Jackson Edson mkazi wa mjini Morogoro alipo fika kuweka fedha benki ya CRDB , Morogoro. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa
[ Read More ]

Hayati Steve Kanumba ni miongoni mwa wasanii maarufu wa Tanzania wenye nyota za umaarufu (Tanzania Walk of Fame) ndani ya ukumbi wa Dar Live jijini Dar Es salaam ambapo mara baada ya kifo chake wafanyakazi wa ukumbi huo na mashabiki wake wameweka mashada ya maua,kadi na kuwasha mishumaa kama ishara ya kuomboleza kifo chake. ...baadhi ya staff wa Dar Live wakiwasha

Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) imeanguka katika uwanja wa ndege wa Kigoma ikiwa katika matayarisho ya kupaa.Habari zinasema kwamba abiria wote pamoja na wafanyakazi wa ndege hiyo wamenusuri