INNA LILAHI WA INNA ILAIHI RAJI'UNA!.
Tunasikitika kutanga kifo cha mpendwa wetu wanafunzi mwenzetu.Imran Mtui.kilichotokea huko Bangalore India kwa ajali. .Taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi zinaendelea.
fromcoast inatoa pole kwa Familia,ndugu, jamaa na marafiki wote.Mungu awape uvumilivu hasa katika kipindi hichi kigumu..
habari zaidi zitawajia hapo baadae
Sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi..
mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi.
AMIN.