Polisi wa mji wa Cardiff nchini Uingereza wanawachunguza walimu watatu kutoka Zanzibar ambao wanahusishwa na mpango wa kujaribu kughushi katika moja ya mashine za ATM. Mashine hiyo iliwekwa kifaa kinachoweza kukopi namba za siri (PIN numbers) na kuwekwa katika mtaa mmoja wa Working huko mjini Cardiff. Polisi walijulishwa kuwepo kwa mpango huo na kuwakamata watu watatu wenye umri wa miaka 51, 28 na
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mheshimiwa Pandu Ameir Kificho akiwajibika WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia kikao cha asubuhi. WAJUMBE wa Baraza wa Chama cha CUF wakiwa katika kikao cha asubuhi kikiendelea. MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitowa hoja ya kuahirishwa kikao cha baraza hadi Januari 19, 2011.SPIKA

Raymond KaminyogeTANGU Machi mwaka jana alipostaafishwa kazi na Rais Jakaya Kikwete, akiwa Mkuu wa Wilaya ya Mbalali, Mbeya, Hawa Ngulume amekuwa haonekani hadharani wala kusikika kwenye vyombo vya habari kama tulivyomzoea. Tunakumbuka jinsi alivyoendesha operesheni ya kuwaondoa wafugaji katika Bonde la Ihefu wilayani humo na kusababisha habari zake kutawala kwenye
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali. Kushoto kwake ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho, Makamo wa Pili wa Rais wa ZANZIBAR Balozi Seif Ali Iddi na kuume kwake ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Hamid Mahmoud na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Seif Shariff Hamad. Hapo wapo nje ya ukumbi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za Pongezi Mheshimiwa Anne Makinda kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika salaam zake,Rais amesema,Spika Makinda amechaguliwa kwa sababu ya uwezo wake,uzoefu na umakini wake.“Ninakuahidi ushirikiano wangu katika shughuli zako za bunge na za kujenga nchi yetu kwa ujumla”Rais Amesema na kuongeza kuwa kuchaguliwa kwa
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda akiingia Bungeni baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo mjini Dodoma.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda akila kiapo cha kuwa mbunge wa jimbo la Mpanda Mashariki ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.Waziri Mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa akila kiapo cha kuwa Mbunge wa jimbo la Monduli ndani ya Ukumbi