
WATU wapatao 13 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya katika ajali ya basi aina ya Coaster lenye namba za usajili T 361 BGE lililokuwa limebeba wanamuziki wa kundi la Five Stars Modern Taarab waliokuwa wakitokea Kyela-Mbeya kueleka jijini Dar. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa mbili usiku ndani ya hifadhi za wanyama za Mikumi mkoani hapa, baada ya gari hilo kuligonga kwa nyuma roli aina