Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),pamoja na Viongozi wengine wa Chuo hicho wakiwa katika maandamano wakati mahfali ya nane yaliyofanyika leo katikakampasi ya Tunguu Baadhi ya Viongozi wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walioalikwa katika sherehe za Mahafali