
Jana ilikua birthday ya ishak..tukaona ni vyema tukajumuika pamoja kusherehekea siku yake hii. na kukumbushia mambo yaleeee.matamu ya zenji..urojo....mhuu ulinoga. tukapata picha pamoja.Happy people na hii ndio ilikua zawadi yake toka kwangu......YOU'LL NEVER WALK ALONE. ....lol..abuu