
MWANAUME mmoja Aron Tilian (40) mkazi wa Kijiji cha Itimu, Kata ya Iwindi mkoani Mbeya amekamatwa na polisi kwa madai ya kufanya unyama kwa kumnyonga mpaka kufa mwanaye mwenye umri wa miaka mitatu na kumzika kwenye shamba la nyanya kisha juu yake kupanda miche ya mmea huo. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kijiji hicho ambapo baada ya ukatili huo inadaiwa muuaji huyo alipeleka taarifa za