Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

    Maybe God wants us to meet a few wrong people before meeting the right one so that when we finally meet the right person, we will know how to be grateful for that gi

[ Read More ]

Dk. Shein, Ajumuika na Wananchi wa Zanzibar katika Mazishi ya Hilika.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akijumuika na Wananchi na Waumini wa dini ya Kiislam katika mazishi ya aliyekuwa Mnikulu Shaban Ahmada Hiliki, Kijijini kwao Mfenesini Vuga Mkadani Wilaya ya Magharibui Unguja. Wananchi wakishirika katika mazishi ya Mnikulu wa Ikulu ya Zanzibar Shaban Ahmada Hilika, katika kijiji cha Vuga Mkadinim Unguja.  

[ Read More ]

Mshumaa Waua, Wajeruhi

        MKAAZI wa Kwaalimsha, Habiba Juma Ramadhani (42) amefariki dunia baada chumba alichokuwa amelala kuteketea kwa moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Azizi Juma Mohammed alisema moto huo uliotokea juzi majira ya saa 2:00 pia ulimjeruhi Hassan Shaabani Idd (48), ambaye alilala katika chumba hicho. Alisema kabla ya chumba walicholala marehemu na majeruhi

[ Read More ]

RAIS KIKWETE KATIKA TUZO YA WANAHABARI BORA

Rais Jakaya kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu na nyum yao ni washindi Fili Karashani (Lifetime achievement Award) na Neville Meena (Overall Winner) wakati wa hafla ya Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaamRais Kikwete katika Picha ya pamoja na washindi wote Rais Kikwete na Meza IkuuRais Kikwete akilimzawadia Mzee Fili Karashani Rais

[ Read More ]