Hivi ndio ilivyo kwa sasa&nb

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa ameshikilia mfano wa funguo baada ya kukabidhiwa na Meja Jenerali Qian Lihua kutoka nchini China ikiwa ni ishara ya kumkabidhi chuo hicho. Waziri wa Ulinzi na JKT Dk. Hussein Mwinyi akikagua darasa la Computer la Chuo Kikuu cha Kitaifa cha kijeshiWaziri wa Ulinzi na JKT Dk. Hussein Mwinyi na Meja Jenerali Qian Lihua kutoka nchini