Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Kesi ya ajali ya Meli Zanzibar yasitishwa

KESI ya ajali ya meli ya MV Spice Islanders iliyofunguliwa dhidi ya manahodha wa meli hiyo na mmiliki wake, imesitishwa.Kesi hiyo ambayo jana ilitajwa kwa mara ya pili katika Mahakama Kuu ya Zanzibar, imesitishwa kupisha uchunguzi wa kamati iliyoundwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein.Hatua hiyo imefikiwa na Mrajisi wa Mahakama hiyo, George Kazi baada

[ Read More ]

Watu 36 Wauliwa Kwa Kupigwa Risasi Baa

Zaidi ya watu 36 wamefariki dunia nchini Burundi baada ya watu waliokuwa na silaha kuvamia baa na kuwapiga risasi watu wote waliokuwemo kwenye baa hiyo Watu 36 wameiaga dunia huku wengine wakiwa wamelazwa hospitali hali zao zikiwa mbaya baada ya watu waliokuwa na silaha kuvamia baada moja iliyopo nje kidogo ya mji mkuu wa Burundi, Bunjumbura na kuwamiminia risasi watu wote waliokuwemo kwenye

[ Read More ]