
ZIARA YA DK SHEIN KISIWANI PEMBA > Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Akiangalia karafuu zilizokatwa wakati zikisafirishwa kwa njia ya magendo.Karafuu hizo zikiwa zimehifadhiwa katika kituo cha ZSTC, huko katika Bandari ya Wete jana.(Katikati) ni mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein, (kushoto) Naibu Meneja wa ZSTC Pemba, Hamad Khamis Hamad Rais