Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Letters to my Children by Benn Haidari


When Benn Haidari was separated from his children by domestic turbulence and physical distance, he refused to become just another absent father. With only the simplest medium and purest will, he set out to maintain contact the only way he knew how: a series of letters to his children. In them, he carefully identifies the lessons he thinks they ought to learn about life and, through these ideas, teaches them about himself. Rich in its detailing of life's peculiarities, passionate about simple pleasures and compelling in its poignancy, Letters to my Children serves as a reminder of the love and hope to be found in every day and every envelope.

get your copy now http://www.amazon.com/dp/B00846Y4PE/ref=tsm_1_fb_lk


[ Read More ]

Father Ambros Mkenda wa Kanisa la Katoliki la Mpendae amepigwa risasi



Photo: Father Ambros Mkenda wa Kanisa la Katoliki la Mpendae amepigwa risasi na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake majira ya saa 12 jioni leo wakati akitokea kanisani. Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Azizi Juma amethibisha kutokea kwa tukio hilo na amesema hakuna mtu anayeshikiliwa kuhusika na tukio hilo lakini uchunguzi unaendelea. Father Mkenda hivi sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja, ambapo Askofu wa Anglikan Michael Hafidh amesema bado ni mapema mno kuelezea kama ataendelea kuwepo hospitalini hapo au atasafirishwa huku akilaani vitendo ambavyo hivi vinavyoendelea vya kuwahujumu viongozi wa dini.
Father Ambros Mkenda wa Kanisa la Katoliki la Mpendae amepigwa risasi na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake majira ya saa 12 jioni jana wakati akitokea kanisani. Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Azizi Juma amethibisha kutokea kwa tukio hilo na amesema hakuna mtu anayeshikiliwa kuhusika na tukio hilo lakini uchunguzi unaendelea. Father Mkenda hivi sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja, ambapo Askofu wa Anglikan Michael Hafidh amesema bado ni mapema mno kuelezea kama ataendelea kuwepo hospitalini hapo au atasafirishwa huku akilaani vitendo ambavyo hivi vinavyoendelea vya kuwahujumu viongozi wa dini.

[ Read More ]